USALITI AMA HAKI
Je unakubaliana na kauli kuwa viongozi wengi wanaosaka mamlaka mwakani lengo lao kuu ni usaliti ama haki? Kwa takriban miaka mingi tangu Kenya kujipa Uhuru na demokrasia ,,viongozi wengi wamekuwa na ubinafsi mamlakani kwa kutumia Mali za Uma vibaya huku wakiwahadaa wananchi kuwa wamo safarini kuendeleza na kudumisha maendeo ya Jamhuri ya Kenya. Hata hivyo asimilia thelathini Kati yao ,wako katika kuendeleza haki na usawa katika maeneo mbalimbali Taifani.Heko kwa wanaolijenga taifa kupitia njia na miradi yao ili kunufai Uma. Ni wito mkuu kwa wananchi wenza kuilinda demokrasia ya jumuia yetu kwa kuhakikisha kuwa tunajichagulia viongozi bora watakolitumikia taifa letu kwa njia zifaazo si kujinufai kibanafsi.